Learning Area / Learning Area Details

Kiswahili Grade 7

  • Brenda image

    By - Brenda

  • 0 learners
  • N/A
  • (0)

Learning Area Requirements

  • Vitabu vya KLB Top Scholar Kiswahili (Kitabu cha Mwanafunzi na Mwongozo wa Mwalimu).

  • Vifaa vya kidijitali (simu, tarakilishi, redio, runinga kwa kusikiliza na kuangalia nyimbo, hotuba na habari).

  • Chati, kadi za maneno, mti wa maneno na picha.

  • Mazingira tulivu ya kujadili na kushirikiana.

  • Kalamu, madaftari na vifaa vya kuandika.

  • Learning Area Description

  • Somo la Kiswahili kwa Darasa la 7 linawaongoza wanafunzi kujenga ujuzi wa lugha na mawasiliano kupitia kusikiliza, kuzungumza, kusoma, kuandika na sarufi. Somo hili linawawezesha kuelewa na kutumia Kiswahili kwa ufasaha, usahihi na ubunifu katika miktadha ya kila siku. Pia linahusisha matumizi ya nyimbo, hotuba, hadithi, mijadala, insha na sarufi ili kukuza stadi za mawasiliano, utamaduni na maadili.

  • Learning Area Outcomes

    Ifikapo mwisho wa somo, mwanafunzi ataweza:

    1. Kusikiliza na kutambua hoja kuu katika habari, nyimbo na mijadala.

    2. Kusoma kwa ufasaha na kuelewa ujumbe wa maandishi.

    3. Kuandika hotuba, insha na barua pepe kwa kuzingatia muundo na lugha sahihi.

    4. Kutumia sarufi ipasavyo (sentensi sahili na ambatano, ukanushaji, ukubwa wa nomino, usemi halisi na wa taarifa).

    5. Kushirikiana na wenzake kupitia mijadala, nyimbo na michezo ya lugha.

    6. Kudumisha maadili na utamaduni kupitia matumizi ya Kiswahili sanifu.

    Learning Area Curriculum

    • 2 chapters
    • 6 lectures
    • 2 quizzes
    • N/A total length
    Toggle all chapters
    1 Magonjwa yanayoambukizwa -Kusikiliza na Kuzungumza -Kusikiliza kwa Makini - video
    N/A

    Video hii inakupa fursa ya kusoma na kudurusu uliyoyasoma ili kuboresha Kiswahili chako. Tunakuletea mfululizo wa video zetu kwenye Kiswahili Rahisi ambazo zitakusaidia kuimarisha ujuzi wako wa Kiswahili.


    2 Magonjwa Yanayoambukizwa -Kusikiliza na Kuzungumza - Kusikiliza kwa Makini - Notes
    N/A


    3 Magonjwa Yanayoambukizwa - Kusikiliza na Kuzungumza - Kusikiliza kwa Makini - Maswali [Quiz]
    12 Min


    1 Kusoma - Kusoma kwa Ufasaha - Video
    N/A


    2 Kusoma - Kusoma kwa Ufasaha - Notes
    N/A


    3 Kusoma - Kusoma kwa Ufasaha [Quiz]
    12 Min


    Teacher

    0 Rating
    0 Reviews
    2 Learners
    3 Learning Areas

    Course Full Rating

    0

    Learning Area Rating
    (0)
    (0)
    (0)
    (0)
    (0)

    No Review found

    Sign In or Sign Up as student to post a review

    Student Feedback

    Learning Area you might like

    Grade 7
    Mathematics Grade 7
    0 (0 Rating)
    Mathematics at Grade 7 introduces learners to foundational concepts in algebra, geometry, measurement, statistics, and n...
    Grade 10
    Intergrated Science Grade 7
    0 (0 Rating)
    Integrated Science at Grade 7 introduces learners to basic scientific concepts and skills that cut across biology, physi...

    You must be enrolled to ask a question

    Learners also bought

    More Learning Areas by Author

    Discover Additional Learning Opportunities